D davidmimbi Member Joined Nov 1, 2010 Posts 18 Reaction score 0 Nov 2, 2010 #1 pita maeneo kadhaa ya sinza ,ni vituo vichache sana vinauza mafuta. Pita vituo vya BP, hawana mafuta. Wanaogopa uchaguzi au? Acheni woga maisha yaendelee kama kawa. Chadema weraaaaaaaaaaaaaaaaa
pita maeneo kadhaa ya sinza ,ni vituo vichache sana vinauza mafuta. Pita vituo vya BP, hawana mafuta. Wanaogopa uchaguzi au? Acheni woga maisha yaendelee kama kawa. Chadema weraaaaaaaaaaaaaaaaa