Vituko vya tff chini ya uongoz wa Jamal Malinzi.

Vituko vya tff chini ya uongoz wa Jamal Malinzi.

mkolaj

JF-Expert Member
Joined
Mar 24, 2014
Posts
3,023
Reaction score
1,092
Tuorodheshe vituko vyote vilivyo fanywa na tff tangu Jamal Malinzi awe rais pale tff..Mimi naanza na hiki;.............. Simba kumchezesha mchezaji mwenye kadi tatu za njano na tff ya Malinzi ikaibariki simba kumchezesha mchezaji huyo wakati kanuni ya ligi haisemi hivyo............ Nawe mdau ongezea vituko vya kwako unavyovikumbuka...,......
 
Tuorodheshe vituko vyote vilivyo fanywa na tff tangu Jamal Malinzi awe rais pale tff..Mimi naanza na hiki;.............. Simba kumchezesha mcheyaji mwenye kadi tatu za njano na tff ya Malinzi ikaibariki simba kumchezesha mchezaji huyo wakati kanuni ya ligi haisemi hivyo............ Nawe mdau ongezea vituko vya kwako unavyovikumbuka...,......

Umeona Uozo Wa Malinzi Tu Kudadadeki Zako ILA Yanga Ilivyogawa Pesa Za Escrow Jijini Mbeya Kwa Prison Na Mbeya City Hadi Mnasababisha Makipa Wao Wote Wawili Chaguo La Kwanza La Prisons Na Mbeya City Washinde Na RB Zao Huku Wakilala Kwa Kuhamahama Pale Jijini Ni Nini? au UNATAKA GENTAMYCINE Nimwage Vitu Hapa Hadharani ILI Nimuumbue Katibu Mkuu Wenu Tiborowa Na Msemaji Wenu POPOMA Murro? Si Unanijua Mwenyewe Kwa Kutoa Zile Taarifa NYETI Na Za Kiuchunguzi? Makamu Mwenyekiti Wenu ( Mwanya ) Alimpatia Mwandishi Wa Habari Wa Chombo Kimoja ( Jina Kapuni ) ILI Asitoe Balaa Walilolifanya Yanga Huko Mbeya Na Bahati Nzuri Simu Zote Za Hao Viongozi Watatu ( Makamu Mwanya ) Nae Akiwepo Walivyokuwa Wakisambaza Pesa Chafu Kwa Hao Wachezaji Na Hadi Dereva Wa Teksi Na Nambari Ya Gari Yake Wakisaidiwa Kwa Ukaribu Sana Na Meneja Wa Uwanja Sokoine Mbeya Na Mkuu Wa Chama Cha Soka Cha Mkoa Wa Mbeya. Tulia Hivyo Hivyo Kijana Na Usinipandishe MZUKA Wangu Nikachafua Sasa Hivi Hali Ya Hewa Hapa Tanzania Kwa Kusema au Kuanika Kashfa Ya Upangaji Matokeo Iliyofanywa Na Yanga Siku Zake 6 Za Ziara Za Kimichezo Ya Ligi Mkoani Mbeya! Jerry Murro Atawatisheni Na Kuwababaisheni Nyie Tu Wana Yanga Mamburula Wenzie ILA Mimi Ndiyo Kiboko Yake Na Najua Humu Yumo ILA Kwa Heshima Yake Tu Siwezi Kuianika ID Yake Hadharani. Yanga Tulieni Tuli Na Jumapili Simba Tusipowafunga Taifa NAFUNGA KWENDA HAJA KUBWA MWAKA MZIMA.
 
Tuorodheshe vituko vyote vilivyo fanywa na tff tangu Jamal Malinzi awe rais pale tff..Mimi naanza na hiki;.............. Simba kumchezesha mcheyaji mwenye kadi tatu za njano na tff ya Malinzi ikaibariki simba kumchezesha mchezaji huyo wakati kanuni ya ligi haisemi hivyo............ Nawe mdau ongezea vituko vya kwako unavyovikumbuka...,......

Mchezaji sio mcheyaji
 
Umeona Uozo Wa Malinzi Tu Kudadadeki Zako ILA Yanga Ilivyomewaga Pesa Za Escrow Jijini Mbeya Kwa Prison Na Mbeya City Hadi Mnasababisha Makipa Wao Wote Wawili Chaguo La Kwanza La Prisons Na Mbeya City Washinde Na RB Zao Huku Wakilala Kwa Kuhamahama Pale Jijini Ni Nini? au UNATAKA GENTAMYCINE Nimwage Vitu Hapa Hadharani ILI Nimuumbue Katibu Mkuu Wenu Tiborowa Na Msemaji Wenu POPOMA Murro? Si Unanijua Mwenyewe Kwa Kutoa Zile Taarifa NYETI Na Za Kiuchunguzi? Makamu Mwenyekiti Wenu ( Mwanya ) Alimpatia Mwandishi Wa Habari Wa Chombo Kimoja ( Jina Kapuni ) ILI Asitoe Balaa Walilolifanya Yanga Huko Mbeya Na Bahati Nzuri Simu Zote Za Hao Viongozi Watatu ( Makamu Mwanya ) Nae Akiwepo Walivyokuwa Wakisambaza Pesa Chafu Kwa Hao Wachezaji Na Hadi Dereva Wa Teksi Na Nambari Ya Gari Yake Wakisaidiwa Kwa Ukaribu Sana Na Meneja Wa Uwanja Sokoine Mbeya Na Mkuu Wa Chama Cha Soka Cha Mkoa Wa Mbeya. Tulia Hivyo Hivyo Kijana Na Usinipandishe MZUKA Wangu Nikachafua Sasa Hivi Hali Ya Hewa Hapa Tanzania Kwa Kusema au Kuanika Kashfa Ya Upangaji Matokeo Iliyofanywa Na Yanga Siku Zake 6 Za Ziara Za Kimichezo Ya Ligi Mkoani Mbeya! Jerry Murro Atawatisheni Na Kuwababaisheni Nyie Tu Wana Yanga Mamburula Wenzie ILA Mimi Ndiyo Kiboko Yake Na Najua Humu Yumo ILA Kwa Heshima Yake Tu Siwezi Kuianika ID Yake Hadharani. Yanga Tulieni Tuli Na Jumapili Simba Tusipowafunga Taifa NAFUNGA KWENDA HAJA KUBWA MWAKA MZIMA.

Meza mate kidogo,km unakimbizwa vile:what:
 
Sasa ivyo ndio vituko vya malinzi na tff yke soma kitu ukielewe
 
TFF kumfungia mwamuzi bila hata kupata ripoti ya kamisaa wa michezo kisa ndala katishia kujitoa katka ligi.
 
Mchezaji kucheza mara 3 zidi ya timu moja MF.kiemba wakati anaenda azam alikuwa Simba na alicheza mechi ya Simba na mtibwa,alipoenda azam aliwakuta hawajacheza na mtibwa hata mechi moja kwa maana hyo kama anapangwa atakuwa anacheza Mara 3 zidi ya timu moja MF.upo hata kwa tambwe,chanongo,kessy etc
 
TFF Kuikubalia timu ya kagera suger kuhama uwanja wa ccm kirumba-Mwanza kwenda kuchezea uwanja wa ccm kambarage kule Shinyanga eti kwa sababu ya imani za kishirikina kama kagera suger walivyodai kuwa timu yao ilikuwa inafanyiwa vitendo vya kishirikina na timu ya toto africa ya mwanza.
 
Alichoongea Jerry Murro mchana wa leo. .
"Tumefuatilia hatua zote kwa umakini utaratibu uliotumika kumchezesha Ibrahimu Ajibu tumegundua ni kumefanyika figisu figisu juu ya swala hili, hakuna utaratibu uliopitishwa wa mchezaji kuchagua mechi za kutumikia adhabu yake , sio katibu wala rais wa TFF anayeijua na kuiidhinisha hii sheria hadi hao Simba waitumie,tumetafuta ofisi ya rais kama kutakuwepo na nyaraka hiyo hakuna, wala wajumbe wa bodi hawajui tulichogundua ni watu wachache wakakutana na kupindisha sheria hii,kama wataleta nyaraka iliyoruhusu sheria hii kutumika tena ikiwa imesainiwa na rais wa TFF mimi ntaachia ngazi ntajiuzulu wadhifa wangu katika klabu ya Yanga,kwa kuwa sisi hii ligi pia inatuhusu tunaiagiza TFF mara moja kuipoka pointi Simba na kuwapa Prison,kiongozi wa Simba aliyedanganya kwa kuandika barua naye aadhibiwe kwani amehusika kumhadaa Fatma Ramadhani na pia kumpotosha Mchezaji Ibrahimu Ajibu akacheza katika mechi yake ambayo ni batili kwake pia rais Jamal Malinzi aivunje kamati hii. . "
Mkuu huyo wa kitengo cha habari cha klabu Yanga aliendelea kwa kusema
"Kwa kawaida ratiba ibadilishwapo huitwa vilabu husika hukaa pamoja na bodi ya ligi huchagua tarehe nyingine ya mchezo huo, lakini bodi hii haijafanya hivo wala hakuna e mail waliyovitumia vilabu hivi kuvitaarifu zaidi tunasikia kwenye mitandao ya kijamii,hata kaimu afisa mtendaji mkuu wa bodi ya ligi Fatma Abdallah alipouliza kama kaufuata utaratibu huu haelewi, kwa kweli huyu mama mambo mengi sana yanamshinda kiatu alichovaa sio saizi yake tunaomba achie ngazi wasimamie watu wanaojua amekuwa kiini cha uharibifu wa ligi yetu, tulipokuwa Nairobi kutokea Botswana tulisikia hata mechi yetu dhidi ya Simba itasogezwa mbele ndipo tukamuuliza Ayoub Nyenzi mjumbe wa TFF naye akawasiliana na viongozi wa TFF ambao walimjibu kuwa hakuna mabadiliko yoyote kwa mechi za Yanga lakini ajabu na kweli kesho yake tunasikia mechi imeahirishwa, tunasema hatuwezi kufumbia macho uvunjifu huu wa sheria na hatutoleta timu uwanjani march 11"alimalizia Jerry Murro
 
Maneno mengi ya nini fungua uzi uweke vitu siyo kupopoma tu bila.kutoa vitu

Kyumana Huna Adabu! Yaani Leo Unaniambia Mimi Napopoma? Ebwana Nimecheka Sana Na Sina Mbavu. Kweli JF Ni Stress Removal!
 
Miongoni mwa marais wa tff ambao wataweka rekodi ya kuharibu mpira wetu ni pamoja na huyu muhaya Jamal Malinzi, Nasubiri kuona mwisho wa hii movie ya Ibrahimu Ajibu....
 
Back
Top Bottom