Vituko vya Mwananyamala: Mtaa kwa mtaa (special thread)

He!hii kali
 
Khaa...[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] aisee nimecheka hatari!!! Hebu hao waliokuwa wanakaa hapo watuambie walikuwa wanajisikiaje??...[emoji23] [emoji23]
Hapo ilibidi huyu mwenyekiti wa mtaa awe anakalishwa asubuhi hadi jioni kakalia gogo
 
Abajalo ni ya Sinza,mashabiki wake walikuwa wanaanzia Sinza Lion Hotel, Mashujaa Shule ya Msingi, Kwa Remy,Sinza Mori
Sisi ndio tulikua wakushi maskani yetu ilikua uwanja wa posta ilipojengwa school of law,herb kama kawa na wanangu bilida,man bola na wengineo
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hilo kwa jina la kitaalamu wanaliita Gonyagonya[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Na buguruni pia, sijajua kwa sasa hali ikoje, sewa na kimboka zilikuwa zikifungwa saa 7 root kwa zero pub till kuchee, niliwahi kuopoa ma.laya akanywa safari 4 nikalala nae na kumuibia 120k, nikasepa akastuka alinifata stend na chupi tu! sitasahau!
Akakudaka?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…