Vituko vipya vya Mwigulu huko Iramba.

Status
Not open for further replies.
JESCA KISHOA, Huu si mkwara, "Hili gamba anazunguka na tindikali na mabomu"
 
na mfano mwingine mdogo ni pale ubungo tehe tehe tehe
 

Kweli SEMBE limeshakuharibu
 

Kura za askari tunazihitaji na zinaheshimiwa sana.......... Lkn pia askari hasa polisi waache kutumia akili za nguruwe kuwashambulia raia. Kulikuwa na sababu gani polisi kumpiga Sheikh Ponda?
Polisi wanaoua raia kwa maslahi ya ccm hawana maana mbele ya jamii
 
Mwigulu Mchemba
Msomi aliyepata first class ya uchumi anatoka povu na kutoa vitisho kwa watu,kwamba anafuatwa kwenye jimbo lake,unayo hati miliki ya hilo jimbo wewe?

Ugaidi kweli tunaelewa ni kazi yako na kuwamwagia watu tindikali pamoja na kuwateka watu,kuwang'oa meno na kucha,unafikiria utawafanyia wangapi wewe??

Mbona muoga? Kama umefanya kazi subiri watu ndio wakusemee sio wewe kujisifia inaonyesha haujiamini na inawezekana haujafanya lolote,mbona unahangaika kufungulia watu kesi ili kuwafunga speed ya kugombea jimbo hilo?

Hauna hati miliki kila mtu anaweza kugombea wananchi ndio mahakimu watakaoamua wanamtaka nani sio wewe kutoa mikwara mbuzi kwa hiyo kila atakapokuwa anakuja mtu kufanya kampeni hapo utaleta timu ili watu wasiende kwenye mkutano? Mbona unachekesha wewe ndio uchumi uliofundishwa huo?

Kweli watanzania wanaelewa wewe ni gaidi ila la kutishia watu waziwazi unavuka mipaka sasa
 
Watanzania umefka wakati wenu sasa wa kufungua macho na kujua nini mfanye, haya mambo ya U-CCM na U-CHADEMA yasije yakapoteza amani ya taifa letu, kwani hao wanaogombania majimbo nao pia hawana lolote jaman tuwakatae na kuwapinga wabunge wote wa hivyo kwani majukumu kwao sasa yamekuwa magumu imebaki kuchimbana mikwara tu katika mitandao ya kijamih. 2015 ndo mda wenu mzuri wa kufanya mabadiliko jaman angalien demokrasia achanen na haya mambo ya chadema na ccm kwa yanaweza hata kupelekea aman ya taifa letu kupotea, tuwen makini kwa hlo jamani
 
Hivi Mwigulu anajua kama anachukiwa sana na vijana ndani ya ccm humohumo?

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 

Endelea kulipa fadhila! Unafkir ile michango ilikuwa ya bure! Haya ndio malipo yake.... Lazima ujichetue kuwaridhisha maboss wako. Na bado fadhila za nyama na posho za Monduli hujaanza kulipia... Vipi hukusanyi michango ya sherehe ya ubatizo wa mwanao????
 
Askari mia moja ni wengi sana. Sasa kosa wanalofanya ccm ni kuwaacha hao askari wengi kusikiliza tenzi za rohoni toka mlima Sayuni. Lazima wazirai mioyo. Kwa ndani wanateketea kwa ukweli wanaousikia toka kwa timu ya M4C ila kwa nje ni wakavu kama bua. Moto wa ndani hauachi kitu salama. Wengi wa askari sasa wanajua ukweli kupitia kumwagwa kwao kwenye hizi M4C. Zidumu fikra zinazopelekea askari wengi kumwagwa kwenye mikutano ya wapinzani.
 
Kama wananchi wataona Mpira ni Bora kuliko Maisha yao yajayo hilo Mwigulu atashinda...
 
Mwigulu
Nikupe deal next time wakija kwenye jimbo lako tena hao watu we walete Original Comedy ili washindwe tena kusikiliza hawajui hilo ni jimbo lako? Nakwambia hawatakwenda

TUTAHESHIMIANA TU
 
JESCA KISHOA, Huu si mkwara, "Hili gamba anazunguka na tindikali na mabomu"

demu anamtoa kamasi , halafu ule uzi ulikuwa wa kijinga sana zaidi ya wachangiaji 200 wamechangia eti ndiyo ukafutwa !
 
Mwigulu
Nikupe deal next time wakija kwenye jimbo lako tena hao watu we walete Original Comedy ili washindwe tena kusikiliza hawajui hilo ni jimbo lako? Nakwambia hawatakwenda

TUTAHESHIMIANA TU

Kwi! Kwi! Kwi! Kwi!
 

tena askari wa Tanzania ni miongoni mwa masikini wa kutupwa wa nchi hii !
 
Huyu si wa kuwaza kwani siasa zake ndo zinaishia ukingoni
 
Kwa nini uogope uwepo wa askari wengi kama wewe siyo mharifu (criminal) au mwenye mawazo ya kiharifu (criminal mentality), otherwise unataka kutuaminisha kuwa CHADEMA inajaza waharifu au mwenye mawazo ya kiharifu katika mikutano yake.

Umejenga hoja kutaka kumponda Mwigulu matokeo yako unaipaka matope CHADEMA bila kujitambua.

Jaribu kuangalia kwanza hoja yako ya spinning in 3D kabla ya kuweka hapa JF.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…