Naibu Katibu mkuu wa CCM Tanzania bara, Mwigulu Nchemba amekuja na stahili mpya ya kupambana na CHADEMA nchini baada ya mbinu zake kadhaa za awali kuekekea kugonga mwamba.
Siku ya juzi mkoani Singida, katika wilaya ya Iramba, Mwigulu Nchemba alifanya kituko kipya baada ya kuja na staili mpya ya kufanya siasa za kupambana na CHADEMA.
Timu ya Simba kutoka Dar ilifika kucheza mechi ya kirafiki wilayani Iramba kwa mwaliko wa Mwugulu na wakati huo huo zaidi ya Askari 100 kumwaga kwenye mkutano wa CHADEMA kwa 'amri' ya Mwigulu huku wakiwa na silaha nzito nzito kwa lengo la kujenga mazingira ya hofu kwa watu ili washindwe kufika na kumsikiliza Dr.Slaa ambaye alikuwa akihutubia mkutano wa CHADEMA unaohusu rasimu ya katiba mpya.
Pamoja na kuwepo kwa askari wengi kwenye mkutano wa CHADEMA, inasemekana bado kulikuwa na wananchi wengi waliofika kuhudhuria mkutano huo.
Pia inasemekana Mwigulu huenda akaendelea na staili hii mpya kama njia mbadala ya kupunguza nguvu ya Ushawishi wa CHADEMA katika kufanya harakati zao kwa njia ya mikutano.
**MWONEKANO MAISHA BORA YA MTANZANIA CHADEMA IKISHIKA DOLA 2015**
Ni kweli ni bora chadema wachkue nchi ili maisha yawe rahis;
1.Asubuh kazin kwenda sa 4 na hakuna kuulizana ( KWA JINA LA HAKI ZA MFANYAKAZI)
2.Kuibiana wake inakua ni ''fair game'' coz mh rais ndo life style itakua iyo ( NDIO RAIS WETU SLAA MWONGOZO )
2.Majambaz watapata neema kwani hakuna kushikwa na polisi wala kubuguziwa. ( SIO HAKI KUKAMATAKAMATA RAIA)
3.Ukiamka asbh unakutana na kitita mlangon cha kufanyia maisha ya siku ( RASILIMALI NI NYINGI TUTALIPWA WOTE)
4.Wanafunzi looh,,mtian unakuja na maswali yako mwenywe il usifeli ( SERIKALI YA CCM ILIFELISHA SAANA)
5.Polisi wote likizo hamna kufanya kazI ( KUKAMATA KAMATA SIO HAKI)
6.Kila raia anakua usalama wa taifa kwan haina haja ya siri (HAWATIKIWI KUFICHWA LOLOTE NI HAKI KUJUA YOTE HATA IKULU LEO WAMEKULA NINI)
7.Bia,viroba sigara hakuna kutozwa kodi na serikali itaongezea cha juu kumpunguzia mlajI gharama Chadema mkombozi wa wananchi aja 2015 (KODI INAUMIZA SAANA WATANZANIA ACHENI WANYWE BURE)
8. WATU WAKIFANYA VURUGU KAMA MAANDAMANO WAZIRI MKUU WA WAKATI HUO MHESHIMIWA GODBLESS LEMA HATAAMLISHA WAKAMATWE ATASEMA SERIKALI IWAPE CHIPS KUKU NA CHODA KWANI SIO HAKI KUKAMATA WAANDAMANAJI
**********KILA LA HERI MAKAMANDA WA M4C*******
Mwigulu Nchemba anaelewa heshima kubwa aliyonayo Dr. Slaa, si ajabu aliamrisha askari wazidishe ulinzi kwenye mkutano wake!.Naibu Katibu mkuu wa CCM Tanzania bara, Mwigulu Nchemba amekuja na stahili mpya ya kupambana na CHADEMA nchini baada ya mbinu zake kadhaa za awali kuekekea kugonga mwamba.
Siku ya juzi mkoani Singida, katika wilaya ya Iramba, Mwigulu Nchemba alifanya kituko kipya baada ya kuja na staili mpya ya kufanya siasa za kupambana na CHADEMA.
Timu ya Simba kutoka Dar ilifika kucheza mechi ya kirafiki wilayani Iramba kwa mwaliko wa Mwugulu na wakati huo huo zaidi ya Askari 100 kumwaga kwenye mkutano wa CHADEMA kwa 'amri' ya Mwigulu huku wakiwa na silaha nzito nzito kwa lengo la kujenga mazingira ya hofu kwa watu ili washindwe kufika na kumsikiliza Dr.Slaa ambaye alikuwa akihutubia mkutano wa CHADEMA unaohusu rasimu ya katiba mpya.
Pamoja na kuwepo kwa askari wengi kwenye mkutano wa CHADEMA, inasemekana bado kulikuwa na wananchi wengi waliofika kuhudhuria mkutano huo.
Pia inasemekana Mwigulu huenda akaendelea na staili hii mpya kama njia mbadala ya kupunguza nguvu ya Ushawishi wa CHADEMA katika kufanya harakati zao kwa njia ya mikutano.
Naibu Katibu mkuu wa CCM Tanzania bara, Mwigulu Nchemba amekuja na stahili mpya ya kupambana na CHADEMA nchini baada ya mbinu zake kadhaa za awali kuekekea kugonga mwamba.
Siku ya juzi mkoani Singida, katika wilaya ya Iramba, Mwigulu Nchemba alifanya kituko kipya baada ya kuja na staili mpya ya kufanya siasa za kupambana na CHADEMA.
Timu ya Simba kutoka Dar ilifika kucheza mechi ya kirafiki wilayani Iramba kwa mwaliko wa Mwugulu na wakati huo huo zaidi ya Askari 100 kumwaga kwenye mkutano wa CHADEMA kwa 'amri' ya Mwigulu huku wakiwa na silaha nzito nzito kwa lengo la kujenga mazingira ya hofu kwa watu ili washindwe kufika na kumsikiliza Dr.Slaa ambaye alikuwa akihutubia mkutano wa CHADEMA unaohusu rasimu ya katiba mpya.
Pamoja na kuwepo kwa askari wengi kwenye mkutano wa CHADEMA, inasemekana bado kulikuwa na wananchi wengi waliofika kuhudhuria mkutano huo.
Pia inasemekana Mwigulu huenda akaendelea na staili hii mpya kama njia mbadala ya kupunguza nguvu ya Ushawishi wa CHADEMA katika kufanya harakati zao kwa njia ya mikutano.
Naibu Katibu mkuu wa CCM Tanzania bara, Mwigulu Nchemba amekuja na stahili mpya ya kupambana na CHADEMA nchini baada ya mbinu zake kadhaa za awali kuekekea kugonga mwamba.
Siku ya juzi mkoani Singida, katika wilaya ya Iramba, Mwigulu Nchemba alifanya kituko kipya baada ya kuja na staili mpya ya kufanya siasa za kupambana na CHADEMA.
Timu ya Simba kutoka Dar ilifika kucheza mechi ya kirafiki wilayani Iramba kwa mwaliko wa Mwugulu na wakati huo huo zaidi ya Askari 100 kumwaga kwenye mkutano wa CHADEMA kwa 'amri' ya Mwigulu huku wakiwa na silaha nzito nzito kwa lengo la kujenga mazingira ya hofu kwa watu ili washindwe kufika na kumsikiliza Dr.Slaa ambaye alikuwa akihutubia mkutano wa CHADEMA unaohusu rasimu ya katiba mpya.
Pamoja na kuwepo kwa askari wengi kwenye mkutano wa CHADEMA, inasemekana bado kulikuwa na wananchi wengi waliofika kuhudhuria mkutano huo.
Pia inasemekana Mwigulu huenda akaendelea na staili hii mpya kama njia mbadala ya kupunguza nguvu ya Ushawishi wa CHADEMA katika kufanya harakati zao kwa njia ya mikutano.
Mkuu TanganyikaTANU wewe ni kati ya wanachama waaminifu wa CCM wenye hekima na heshima kubwa hapa Jamvini.
Umejipinda na kupoteza muda kuandkia upuuzi kwa nini usifanye kitu kingine kuliko kuuvua ubongo wako hadharani.**MWONEKANO MAISHA BORA YA MTANZANIA CHADEMA IKISHIKA DOLA 2015**
Ni kweli ni bora chadema wachkue nchi ili maisha yawe rahis;
1.Asubuh kazin kwenda sa 4 na hakuna kuulizana ( KWA JINA LA HAKI ZA MFANYAKAZI)
2.Kuibiana wake inakua ni ''fair game'' coz mh rais ndo life style itakua iyo ( NDIO RAIS WETU SLAA MWONGOZO )
2.Majambaz watapata neema kwani hakuna kushikwa na polisi wala kubuguziwa. ( SIO HAKI KUKAMATAKAMATA RAIA)
3.Ukiamka asbh unakutana na kitita mlangon cha kufanyia maisha ya siku ( RASILIMALI NI NYINGI TUTALIPWA WOTE)
4.Wanafunzi looh,,mtian unakuja na maswali yako mwenywe il usifeli ( SERIKALI YA CCM ILIFELISHA SAANA)
5.Polisi wote likizo hamna kufanya kazI ( KUKAMATA KAMATA SIO HAKI)
6.Kila raia anakua usalama wa taifa kwan haina haja ya siri (HAWATIKIWI KUFICHWA LOLOTE NI HAKI KUJUA YOTE HATA IKULU LEO WAMEKULA NINI)
7.Bia,viroba sigara hakuna kutozwa kodi na serikali itaongezea cha juu kumpunguzia mlajI gharama Chadema mkombozi wa wananchi aja 2015 (KODI INAUMIZA SAANA WATANZANIA ACHENI WANYWE BURE)
8. WATU WAKIFANYA VURUGU KAMA MAANDAMANO WAZIRI MKUU WA WAKATI HUO MHESHIMIWA GODBLESS LEMA HATAAMLISHA WAKAMATWE ATASEMA SERIKALI IWAPE CHIPS KUKU NA CHODA KWANI SIO HAKI KUKAMATA WAANDAMANAJI
**********KILA LA HERI MAKAMANDA WA M4C*******
Naibu Katibu mkuu wa CCM Tanzania bara, Mwigulu Nchemba amekuja na stahili mpya ya kupambana na CHADEMA nchini baada ya mbinu zake kadhaa za awali kuekekea kugonga mwamba.
Siku ya juzi mkoani Singida, katika wilaya ya Iramba, Mwigulu Nchemba alifanya kituko kipya baada ya kuja na staili mpya ya kufanya siasa za kupambana na CHADEMA.
Timu ya Simba kutoka Dar ilifika kucheza mechi ya kirafiki wilayani Iramba kwa mwaliko wa Mwugulu na wakati huo huo zaidi ya Askari 100 kumwaga kwenye mkutano wa CHADEMA kwa 'amri' ya Mwigulu huku wakiwa na silaha nzito nzito kwa lengo la kujenga mazingira ya hofu kwa watu ili washindwe kufika na kumsikiliza Dr.Slaa ambaye alikuwa akihutubia mkutano wa CHADEMA unaohusu rasimu ya katiba mpya.
Pamoja na kuwepo kwa askari wengi kwenye mkutano wa CHADEMA, inasemekana bado kulikuwa na wananchi wengi waliofika kuhudhuria mkutano huo.
Pia inasemekana Mwigulu huenda akaendelea na staili hii mpya kama njia mbadala ya kupunguza nguvu ya Ushawishi wa CHADEMA katika kufanya harakati zao kwa njia ya mikutano.
Pumba tupu!**MWONEKANO MAISHA BORA YA MTANZANIA CHADEMA IKISHIKA DOLA 2015**
Ni kweli ni bora chadema wachkue nchi ili maisha yawe rahis;
1.Asubuh kazin kwenda sa 4 na hakuna kuulizana ( KWA JINA LA HAKI ZA MFANYAKAZI)
2.Kuibiana wake inakua ni ''fair game'' coz mh rais ndo life style itakua iyo ( NDIO RAIS WETU SLAA MWONGOZO )
2.Majambaz watapata neema kwani hakuna kushikwa na polisi wala kubuguziwa. ( SIO HAKI KUKAMATAKAMATA RAIA)
3.Ukiamka asbh unakutana na kitita mlangon cha kufanyia maisha ya siku ( RASILIMALI NI NYINGI TUTALIPWA WOTE)
4.Wanafunzi looh,,mtian unakuja na maswali yako mwenywe il usifeli ( SERIKALI YA CCM ILIFELISHA SAANA)
5.Polisi wote likizo hamna kufanya kazI ( KUKAMATA KAMATA SIO HAKI)
6.Kila raia anakua usalama wa taifa kwan haina haja ya siri (HAWATIKIWI KUFICHWA LOLOTE NI HAKI KUJUA YOTE HATA IKULU LEO WAMEKULA NINI)
7.Bia,viroba sigara hakuna kutozwa kodi na serikali itaongezea cha juu kumpunguzia mlajI gharama Chadema mkombozi wa wananchi aja 2015 (KODI INAUMIZA SAANA WATANZANIA ACHENI WANYWE BURE)
8. WATU WAKIFANYA VURUGU KAMA MAANDAMANO WAZIRI MKUU WA WAKATI HUO MHESHIMIWA GODBLESS LEMA HATAAMLISHA WAKAMATWE ATASEMA SERIKALI IWAPE CHIPS KUKU NA CHODA KWANI SIO HAKI KUKAMATA WAANDAMANAJI
**********KILA LA HERI MAKAMANDA WA M4C*******
Heri anayewalaumu kuliko kuwaua. Takwimu zinasema miezi 6 iliyopita polisi nane wameuawa na raia. Kibaya zaidi mkoa wenu umeongoza.Hivi mbona mnapenda kuwatukana askar hata kwsa yale ambayo hawahusiki? Si sheria inawaagiza kulinda mikutano na mikusanyiko halali? Hiviîngekuwaje iwapo wangegoma kutoa huduma ya ulinzi? Halafu kejeli hizo mmesahau kama ndo zilimgharim j.k 2010 alipowa watishia waalim? Hiv mmesahau kuwa hata kura za àskari znahitajika kupata ushind mnono? Hivi mmesahau kuwa vyombo vya ulinzi walipiga kura za kutosha kwa wanamapinduzi?
Nimesikitishwa na wenje kuwasema polisi ni mbwa wkt ndo waliofanikisha ubunge wake.