Vituko ndani ya JF; Upande wangu wa simulizi

Hapana, huyu ni Mkenya anaitwa nikk mutuma ingia Google utamjua vizuri
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] miaka yote najua huyu jamaa kwenye avatar ni Daby OG kumbe ni Mkenya?





Sent using Jamii Forums mobile app from my Android phone


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kukaa na ID moja kwa miaka 7 kama akina sisi si mchezo. Wengi wanabadili ID baada ya kuharibu. Mimi sijawahi hata kupata BAN ya nusu saa!
Ila wanaobadili ID huwa wanatupa changamoto sana!
 
Kukaa na ID moja kwa miaka 7 kama akina sisi si mchezo. Wengi wanabadili ID baada ya kuharibu. Mimi sijawahi hata kupata BAN ya nusu saa!
Ila wanaobadili ID huwa wanatupa changamoto sana!
Nilijiunga hapa mwaka 2009, nina Id moja tuu, ila nilibadili user name kwa sababu ile ya kwanza ilikuwa inafanana sana na jamaa mmoja hivi, ikawa inaleta sintofahamu katika uchangiaji.
Bahati mbaya sana huyu mtu alikuwa wa itikadi tofauti, nilikuwa nakereka sana na michango yake na majina yetu yanafanana. Nikaamua kubadili jina.

Sijaona umuhimu wa kuwa na ID zaidi ya moja.
Ukiwa na uhakika na unachokisema /kuchangia huna sababu ya kuogopa wala hutapata BAN.
Kama tabia zako hazina utata, jina la pili la nini ,unaficha nini.
 
Hahahahahaaaaaaa.



Hii ya kujisifia na ID nyingine iko poa sana.

Kiukweli watu wanavituko sana humu ndani
Hahaaaa. Mdogo wangu watu wana kazi bana, yaani anaanzisha ID mpya ili tu apate kujisifia na kujipaisha.

Na vituko vyake haviwezi kuisha zaidi ya kuongezeka kila kukicha
 
Hahaaaa. Mdogo wangu watu wana kazi bana, yaani anaanzisha ID mpya ili tu apate kujisifia na kujipaisha.

Na vituko vyake haviwezi kuisha zaidi ya kuongezeka kila kukicha
na vinazidi kuongezeka siku hadi siku...yaani acha tu

Sent from my iDevice using Tapatalk
 
Mimi nashangaa tuu majina ya wakuu huku kwenye hili jukwaa,yaani kuna majina yanachekesha na kufikirisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…