#HABARI Abdallah Mohamed (53) na Hamidu Athuman (50) wakazi wa Kwadelo wilayani Kondoa Mkoani Dodoma, wanashikiliwa na Jeshi la Polisi Kiteto kwa tuhuma za kukutwa na madawa ya kulevya aina ya mirugi gunia sita eneo la Ilkiushbour tarafa ya Makame zikiwa na bunda 300 sawa na kg 150 zikiwa zimepakiwa kwenye gari aina ya Toyota land Cruser LX T 711 ADE rangi nyeusi. #EastAfricaRadio