Vituko mitandaoni. Tupia chako

Hivi hii account ya JF huko FB ni official? Maana huwa naiona ina mapungufu mengiView attachment 2836355

Sent using Jamii Forums mobile app
Nomba sana huyu bro awe mzima. Ni mtu humble sana na asiye na makuu. Yaani ukiongea naye ni kama vile unaongea na mshikaji. Kama kuna changamoto za kiafya zinamkabili basi Mungu Akamvushe salama kama alivyomvusha kwenye Korona! 🙏🏿🙏🏿🙏🏿
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…