Vituko mitandaoni. Tupia chako

,babu usiniambie??


Kwamba umebariki hii kitu
Nibariki wapi?

Huoni ambavyo huwa napambana mjukuu. Mkianza kubebishana humu huwa mpaka nachanganyikiwa yaani...ila sasa nitafanyeje?

Na huyu sijui ana unafuu kuliko li Fox hata sijui yaani. Unafanya kazi yangu ya kukuchunga kuwa ngumu hatari 😬😬😬
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…