Vituko mitandaoni. Tupia chako

Kuna tatizo gani hapa? Au kwa vile ni shabiki wa Uto? 😳😳😳
 
Hahahaha,hupendi kuosha vyombo, shida ukipika unatumia vyombo kwa fujo,


Lkn chakula cha kujipikia ni kitamu sana
Mara moja moja huwa napika ila sana sana mpaka Mama E akiwepo ndiyo huwa tunajipikilisha pamoja. Wikendi ya wiki hii atakuwepo na nimepanga kupika dagaa na bamia. Yeye sijui atapika nini hata sijui...

Shida ya kupika ni ule mlolongo - nyanya, vitunguu, sijui nini...unakuta masufuria hata 6 yameshachafuka. Bado la ugali. Kesho yake kuja kuyaosha sasa dah!🚮
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…