Ndege ya kibinafsi ya Nurol Holding aina ya Dassault Falcon 2000LX usajili TC-SGO yenye makao yake makuu nchini Uturuki imebinuka na kukalia mkia.
Vyanzo vya habari vinasema kuwa ndege hiyo ilinyanyuka kutokana na upepo mkali uliovuma kwenye maegesho.