Vituko mitandaoni. Tupia chako

Tupate wapi kiongozi kama huyu? Anayerudisha hazina hela za umma alizobakiza baada ya kujinunulia vitabu? πŸ™πŸΏ

Nasikia hata Maalim Seif naye ana mikasa kama hii. Zawadi kubwa za pesa alizopewa huko ughaibuni lakini akafika na kuzikabidhi ikulu/hazina.

Wapumzike salama πŸ™πŸΏ

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…