Vituko mitandaoni. Tupia chako

Ndugu zangu Wanyalu buana. Yani Iringa ni mkoa wa pili kwa idadi ya mbwa wengi ikitanguliwa na Arusha. Lakini Iringa haipo kwenye mikoa ambayo watu wake wanang'atwa na mbwa. Yani licha ya kuwa na mbwa wengi lakini matukio ya watu kung'atwa na mbwa ni machache. Maana yake ni nini? Maana yake ni kwamba, Iringa mbwa hang'ati watu bali watu ndio wanang'ata mbwa. Kamwene


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…