Kuna Vita Ya Mbwa Mwitu Wawili Ndani Yetu Sote
Moja ni mbaya. Ni hasira, wivu, uchoyo, chuki, uongo, uduni na ubinafsi.
Nyingine ni nzuri. Ni furaha, amani, upendo, matumaini, unyenyekevu. wema, huruma na ukweli. Mbwa mwitu anayeshinda? Yule unayemlisha. -Methali ya Kicherokee
Ninalisha zote mbili. Sasa wanapigana na adui zangu.
-Odin
Sent using
Jamii Forums mobile app