Vituko mitandaoni. Tupia chako

NAOMBA MSAMAHA KWA KULALA NA KUFANYA MAPENZI NA MAMA YAKE ERICK OMONDI

Msanii wa mziki wa injili nchini Kenya Ringtone, amemuomba msamaha Erick Omond na wakenya wote kwa ujumla kwa kulala na mama yake.

" Ninaomba mnisamehe, nimeshatubu dhambi zangu, nilikosea sana kwa kulala na mama yake Erick Omondi. Najuta kufanya hivyo. Naombeni mnisamehe, nilipitiwa na shetani wala haikuwa akili yangu lakini naapa kwa wakenya wote sitorudia tena"

Ebu jaribu kuvaa viatu vya Erick Omondi je vitakutosha??


#kenya
#WCB
#nairobi
#tanzania
#harmonize
#diamonds
#wcb4life

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…