Vituko mitandaoni. Tupia chako

Kujisitiri mai futi 😁😁😁

Analalamika kazi ile imemharibia kila kitu kuanzia kutengwa na familia, kuwekewa fatwa na wahafidhina wa Lebanon na kutambulika kila anakokwenda kunakomsababishia kukosa mpenzi wa kudumu japo ni milionea na yuko tayari kutulia na mwanaume mmoja waanzishe familia. Kuna kazi zingine zina laana!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…