Apambana na Simba mpaka kumuua.
Msambaa mmoja kutoka huko kijiji Cha Langoni huko Mnazi Lushoto Tanga amepambana na Simba huyu Dume na kumuua nani baada ya Simba huyu Dume kuvamia makazi yake huko Guma na kuanza kushambulia zizi lake la Mifugo.
Mpe neno huyu mwambaView attachment 2743678View attachment 2743679