Vituko mitandaoni. Tupia chako

Equatorial Guinea imetawaliwa na Rais Teodoro Obiang tangu 1979.

Mwanawe, Teodorin amekuwa Makamu wake wa Rais tangu 2016.

Mjomba wake alikuwa Rais kutoka 1968 hadi 1979.

Equatorial Guinea ilianza kujenga mji mkuu mpya, baada ya majaribio ya mapinduzi yaliyoshindwa mwaka 2004 na 2017.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…