Vituko mitandaoni. Tupia chako

"Wamerudiana"

Baada ya kuachana kwa talaka tatu kwa mpigo, kisha wakarudiana tena Baada ya kupatanishwa na Zamaradi Mketema ambapo walidumu kwa wiki moja tu wakaachana tena, kwa mara ya tatu Dulla Makabila na aliyekuwa Mkewe Zaiylissa wamerudiana tena.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…