Vituko mitandaoni. Tupia chako

Kadiri siku zetu zinavyopungua, nguvu zetu zikinyauka, urembo wetu kufifia, umbile letu kukunjamana, nywele kuwa na mvi, hamu ya kula inapungua, macho yetu yanapungua, dunia yetu inajaribu, makaburi yetu yakingoja, dhambi zetu zikirundikana, TUSIMULIE, TUTAFAKARI na KUWA KARIBU na Muumba.

KUNA SOMO KATIKA PICHA HIZI MBILI ZA MTU MMOJA WAKATI TOFAUTI.

Jenerali Olusegun Obasanjo, rais wa zamani wa Nigeria.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…