Huku Misungwi yaani mtu ukiamka tu unaamka na miwa. Halafu nadhani hii mbegu ya sasa imechakachuliwa maana miwa ni mitamu hatari!
Sasa hivi ninapoandika hapa nishateketeza mitatu na mpaka jua likachwe lazima 10+ itakuwa ishaenda na maji. Taya zimezoea!