Mke aliuliza maoni ya kisheria kutoka kwa mume wake wakili kuhusu kwa nini wake wanapaswa kuwapikia waume zao chakula. Alisema kulingana na Mkataba wa Geneva wafungwa wote lazima wapatiwe Chakula[emoji23]
Chukua karatasi au takataka zo zote. Zimwagie mafuta ya taa halafu zichome. Moshi na harufu yake zitamfanya atoke ndani ya nyumba haraka sana. Angalia usiishie kuchoma nyumba!