Vituko mitandaoni. Tupia chako

My apology kwa wapenzi wa hii mada, uongozi wa JF na wasomaji wengine wote, uungwana ni vitendo..kuna mahali nilikosea Naomba radhi kwa vipindi tofauti hapo nyuma nilipopost picha zisizo na madili ya kukidhi matakwa ya forum.. !
My apology pia kwa wote ambao kwa njia moja ama nyingine walikwazika na picha hizo.. Tunajifunza kupitia makosa yetu kutokana na kupungukiwa na ukamilifu wa kibinadamu.. NAAHIDI KUWA MAKINI ZAIDI


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ooh!! Ndiyo maana walikunyanganya uzi... wakampa Pastor...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…