Vituko mitandaoni. Tupia chako

Light kama tungekua tunafanana akili na mawazo yanaendana bac ingetupasa kumtenga mazima huyu jamaa post zake na habar zake ni kuzifunika kama kinyec chake mwenyewe” kwangu me namchukulia kama ni muasi wa Nchi kwakitendo cha kushirikiana na samia kuuza Nchi kwa waraabu wa Dubai

Alifanya haya Loliondo na sasa ni Bandarin na anajikuta kuwa yeye ni mtu falani hivi anaeweza Suport chochote na kikafanikiwa hii ni dharau kubwa sana kwa watu wa mtandaoni na jamii nzima ya watanzania.

Credit: Fatma Karume FB

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Our modern era Mangungos...

So embarrassing!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…