Katika kipindi cha vita ya Pili ya Dunia Ujerumani alitengeneza uwanja cha ndege bandia (Fake Airport) zikiwemo Ndege bandia za mbao, Magari n.k ili kumchanganya adui yake (Uingereza na washirika) endapo watafanya mashambulizi kutoka angani.
Hata hivyo Uingereza illipata taarifa za kiintelijensia na kusubiri hadi walipomaliza ujenzi kisha ikatuma ndege kwenda kudondosha Bomu kubwa la bandia la mbao.
Ilichukuwa muda kiasi kwa wanajeshi wa Ujerumani kujikusanya tena upya kutafuta bomu ambalo halikulipuka na kugundua lilikuwa bandia.
That engine might be a fuel guzzler with a lot of issues including oil leakeage, unbearable odors, oversized piston holes and can sputter and kill you! πππΏββοΈ
Anapooza engine kweli au ndo anaichochea isisimue gari zima mpaka kulipa shoti ikiwezekana? Nasikia hivyo vibomba vya maji vinaweza kufanya maajabu kwenu....nasikia tu lakini ππΏββοΈππΏββοΈππΏββοΈ