KISA MKASA: Huko nchini Uingereza, jamaa mmoja aitwaye aligongwa na basi na kurushwa umbali wa futi 20, lakini alipoinuka moja kwa moja alielekea kwenye baa ya jirani kupata kinywaji. Alipoulizwa kwa nini hakurudi nyumbani kupumzika akasema safari yake ilikuwa ni kwenda Bar na isingekatishwa na chochote.
Moral of the story; ukiwa na shabaha au mwelekeo wako, usikubali kitu chochote kikukwamishe, kusonga mbele daima!