Wote tumeshawahi kufika makaburini kuzika ndugu, jamaa na marafiki na hata tusiowajua! Ni sehemu ambayo mara huwa busy na watu wengi wakipishana lakini mara baada ya mazishi watu hutawanyika na kuliacha kaburi peke yake, upweke na ukiwa huanzia hapo. Unarudi nyumbani peke yako ukimwacha...