Vituko mitandaoni. Tupia chako

NAHITAJI MSAADA WA DHATI… Nilikwenda msituni kwa matembezi na mjukuu wangu na ghafla nikaanza kusikia mayowe na vilio na kulikuwa na harufu mbaya kama ya mayai viza. Mara nilipofika hapa nilisimama na sasa tangu nilipoondoka, nilihisi uwepo wa giza na haujaniacha tangu wakati huo. Ninaiona katika ndoto zangu sasa kila nikistuka na kuamka nahisi jasho baridi…. Sijui nifanye nini.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…