Ifike mahali kama taifa tumuombe msamaha chifu Mangungo wa Msovero. Yeye hakusoma na hakuwa na maarifa aliposainishwa limkataba lile libaya na jasusi bobevu la Kijerumani - Carl Peters.
Sisi tuna kisingizio gani kama siyo njaa tu na uhayawani wetu? π³π³π³
Maisha magumu mabaharia wana uchungu na hela zao...hata mabinti wamegundua some changes kwa jinsi wanavyoshughulikiwa πππππΏββοΈππΏββοΈ