Mobutu alikuwa madarakani kwa miaka 32 (1965-1997). Alikufa uhamishoni, kwa saratani ya kibofu, mwaka huo huo alio ondolewa madarakani. Hili hapa kaburi lake (& wanawe 2) huko Rabat, Morocco. Ingawa alikuwa amejipa majina mengi makuu, kaburi lake lina alama za herufi za kwanza - MSS, hakuna picha, hakuna cheo hakuna madoido yoyote
View attachment 2640167
Sent using
Jamii Forums mobile app