Sarafu hizi zilitumika kama ishara za kuingia kwenye madanguro ya Kirumi[emoji845]
Kulingana na Suetonius, kubeba sarafu yenye sanamu ya mfalme kwenye choo au danguro kunaweza kuhesabiwa kuwa uhaini. Kwa hivyo, hizi ndizo sarafu pekee zilizotumika kwenye madanguro....