Kuna hali ya dharula.
Bee colonies are collapsing na sababu hazijulikani. Wengine wanalaumu mabadiliko ya tabia nchi. Wengine madawa ya kuulia wadudu mashambani....
Nyuki tunawachukulia poa lakini bila wao hakuna pollination na bila
pollination hakuna chakula. Ni tatizo kubwa na wanasayansi wanakuna vichwa kuhusu jambo la kufanya.