Leo Mhe Bashe ametamalaki sana mitandaoni. Je, huyu ndiye mchezaji wa akiba atakayeingia uwanjani baada ya 'Celestine Sikinde Mbunga'? Je, ndiye kiungo mkabaji baada ya mpwa wa 'Mtemi wa Unyanyembe'? Neno moja kwake! Je, nini kimekushangaza? Je, nini maoni yako?