Umewekamo pilipili manga?
nini kimetokea??
Airtel sme πππππ
ndo nini broAirtel sme πππππ
Mechi...nini kimetokea??
ni hack ya kupata bando bure??πππππππππ
View attachment 2608916
Unalipa kujiunga 10kni hack ya kupata bando bure??
5000 gb3 mona kitu ni kilekileUnalipa kujiunga 10k
Ndo upate huo utamu wenyewe πππ
Angalia 20k - 50k uone utamu ulivyo ππππ5000 gb3 mona kitu ni kilekile
bado kwa matumizi yangu nataka niweze kupata internet isiyo na kikomo...Angalia 20k - 50k uone utamu ulivyo ππππ
Isiyo na kikomo tena π€£π€£π€£π€£π€£bado kwa matumizi yangu nataka niweze kupata internet isiyo na kikomo...
Shida which why how?
kuna huduma inaitwa konnect, 60k unapata bando la speed 10Mb/s bila kikomo kwa mwezi.... sema kuinstall vifaa inacost 400k. Tutafte hela kakaIsiyo na kikomo tena π€£π€£π€£π€£π€£
Umekuwa TCRA AU Kazi zako ndo za humo unlimited sijajua inapatikanaje aseee πππππ
π€£π€£π€£ππππππ Duuuh hiyo sitakuwa na matumizi nayo too much is harmful, πππ tumia kiasikuna huduma inaitwa konnect, 60k unapata bando la speed 10Mb/s bila kikomo kwa mwezi.... sema kuinstall vifaa inacost 400k. Tutafte hela kaka