Nitakuja PM....
Ila sihusiki na kupotea kwako na mambo ya Onlyfans kwa namna yo yote ile.
Usije ukaokoka huko mbele ya safari ukaanza kutoa ushuhuda mbele ya madhabahu kuwa nilikutana na jamaa fulani wa kuitwa Shimba ya Buyenze mtandaoni ndo akanipoteza kabisa na uraibu wa mayutong....
Do this at your own risk