Angalia Kwa Umakini ni nani unakutana naye kimwili??, Kila unayekutana naye kimwili kuna sehemu yake inabaki kwako, Ndiyo maana unaweza ukakuta watu wengine wabaya sana,wakatili,wengine ni kama mashetani kabisa , Hii ni kwasababu kuna roho wachafu wengi ndani yao.
View attachment 2595452