Vituko mitandaoni. Tupia chako

❝CCM ilinunua vitu mbalimbali vyenye thamani ya Sh. milioni 58.60 ambavyo vimepitwa na wakati na havitumiki.

Aidha,Chama cha Wananchi (CUF) kilikuwa na magari kumi na Jenereta mbili zenye thamani ya Sh. milioni 302.93 ambazo zimekaa kwa muda mrefu bila ya kutumika,…
 
Me sio CCM sio CHADEMA, hili niliweke wazi, ila ukiliweka CCM na ANDAZI nitachagua ANDAZI, simwamini MTAWALA na MPINZANI simthadiki, maana wanaendelea KUKATIKA huku DJ KAUZIMA MZIKI - #Nipeni_Maua_Yangu
 
CHADEMA mwaka huu mmepata hati safi? Au kwa vile tu ndo ruzuku mmeanza kupokea sasa hivi hata miezi mitatu haijaisha?

#Jointhechain
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…