Nimeamua kurudi kijijini kulima baada ya magazeti yangu kuanguka, sina jinsi nimekubaliana na matokeo, kila zama na kitabu chake, nimefanya wajibu wangu wa kulipigania taifa lakini siko tayari kuwapigia watu magoti ili watambue umhimu wangu, sisi watu wengine tuna misimamo… twitter.com/i/web/status/1…