INDIA: Polisi wanamshikilia Sarju Markam (33) baada ya Redio aliyompa Ex wake siku ya Harusi kulipuka mara baada ya kuwashwa na kuwaua Bwana Harusi, Hemendra Merawi na Kaka yake, huku Wanafamilia Wanne wakijeruhiwa
Kulingana na ripoti, Mtuhumiwa ambaye ni Baba wa Watoto wawili… twitter.com/i/web/status/1…