Kwa mujibu wa CAG, shirika la bima ya afya ya Taifa limepata hasara ya zaidi ya 204B, kutokana na sababu mbalimbali ikiwemo kufanya malipo hewa, na marudio ya malipo kwa huduma ile ile kwa mtu yuleyule na kwa wakati ule ule.

Duh aisee hiyo mimi pia uwa naona unatibiwa sehemu X unapata sms umetibiwa apo na gharama wanakuwekea ,then baada ya week kadhaa unapata sms ile ile kuwa ulitibiwa sehemu X na gharama ni zilezile za sms ya kwanza
Ukipata hiyo sms unajua ni ile ile may b wametuma tena ,kumbe ni Mpigoo.