Vituko mitandaoni. Tupia chako

Kizuka TPDF kipindi hicho
mtoto wa mkuu wa kambi wa kipindi hicho alikua anaitwa jumapili
kapwani alikuja bwenini na laptop ya baba ake
ikaibiwa! Mwe mwe mwee! Tulikoma, wakati huo yeye mwenyewe( mtoto) yupo hosp ya shule kesha bwia ngao ya kidonge na ngao ya maji
tuliiva kuanzia mademu zake mpaka marafiki na bweni zima! Ziliingia KIA tatu zimejaa MP
TULIIVA na haikupatikana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…