Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,582
- 1,105,406
Mwalimu kama huyu kweli utakosa kwenda shule na kujitahidi ili usionekane boya? Na kwa vile anafundisha shule ya wavulana ndo kabisaa!Menziwa's students are known for their excellent academic performance, with perfect attendance and top grades.
Anaadhabu yake Motoni uyuHuwa anajiita mwenyewe kuwa ni mfalme wa wafalme, bwana wa mabwana, mungu mwenyezi!
Basi anaringa na hilo shoes lake utafikiri wahuni hawapiti nalo bila kilainishiMwalimu kama huyu kweli utakosa kwenda shule na kujitahidi ili usionekane boya? Na kwa vile anafundisha shule ya wavulana ndo kabisaa!
View attachment 2554725View attachment 2554726View attachment 2554727View attachment 2554728
Mimi nadhani ni mgonjwa wa akili. Labda ndiyo masharti aliyopewa na hao waliompa hizo nguvu anazotumia kulaghai watu.Anaadhabu yake Motoni uyu
Mimi nadhani ni mgonjwa wa akili. Labda ndiyo masharti aliyopewa na hao waliompa hizo nguvu anazotumia kulaghai watu.
Kabla serikali haijamshtukia mara ya kwanza alikuwa na wafuasi wengi. Akipita lazima wafuasi wake wajipange huku na huku wakimsujudia na inasemekana alikuwa/ana uwezo wa kutenda miujiza (kuponya wagonjwa na kufungulia wenye matatizo). Watu wanasafiri kutoka huko walikotoka na kwenda kukaa kwake. Ndiyo maana kwenye hii kesi ya mwisho serikali ilimshikilia kwa kosa la human trafficking.
Jamii yetu hii ina matatizo makubwa na ukijifanya unatenda vimiujiza basi utapata wafuasi kweli kweli.
View attachment 2554731View attachment 2554732
Akina mama ndiyo victims wa kwanza. Huoni hapo walivyobong'oa na kusujudu mungu wao mfalme akipita? Akina mzabzab na Mzee wa kupambania sidhani hata kama wangeweza kuabudu na kufuatilia ibada sawasawa baada ya hapoJamii hasahasa wakinamama ndo huwa rahisi sana kudanganyika. Asijewachoma tu moto kama yule mchungaji wa Uganda maana uko kumwamini naona kunapitiliza.
Akina mama ndiyo victims wa kwanza. Huoni hapo walivyobong'oa na kusujudu mungu wao mfalme akipita? Akina mzabzab na Mzee wa kupambania sidhani hata kama wangeweza kuabudu na kufuatilia ibada sawasawa baada ya hapo
Hapo lazima wafaulu tuu maana kila leo unawahi shule ili uone msambwanda.Boy's school