Vituko mitandaoni. Tupia chako

Hizi story zinapotosha watu sana, napenda sana mazoezi na huyo jamaa nimemfollow if since 2015!!

Jamaa alikua anabeba Hilo begi 2015 ukiwa na battery ndani zilizokua zimeunganishwa na mwili wake kusaidia normal blood flow kwenye moyo wake aliozaliwa nao ambao ulikua na hitilafu ya kua na thin tissues

Mwaka 2016 alipata donation ya moyo kutoka kwa mtu aliyepata ajali ya pikipiki, walipoona hawezi kupona akadonate moyo wake ndo jamaa akafanyiwa transplant

Hivyo hatembei na begi tena Toka huo mwaka 2016 aliopata transplant!!!


Sasa eti sijui kaweka moyo bandia kwenye begi? Kuna moyo bandia? Yani vurugu tupu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…