Vituko mitandaoni. Tupia chako

Mgonjwa wa akili huyu...

Anatakiwa kuwa Mirembe...

Wanamchekea lakini ana potential ya kuleta maafa makubwa kuzidi hata ya Kibwetere.

Kumbuka anafuga watu nyumbani kwake na wanamtumikia kama mungu wao. Siku akiwaamrisha kunywa sumu au kujichoma moto ili waende mbinguni itakuwa sawa na yale maafa ya Jim Jones kule Guyana au Kibwetere wa Uganda.

Anahitaji msaada!

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…