Vituko mitandaoni. Tupia chako

Aahahahaa Mzab, Not as such....

Enzi nakua on my mid 20s (1950s), wanaume walikuwa XXL... mind you mimi ni mnyamwezi 😋😋 hao ndo walinikuza na kunizeesha.

Sina uhakika maeneo mengine ya nchi walikuwaje...😊
Mhm kikongwe una 80+ na unajua kichapa marimba ya mzungu😲😲😲😲
Mnyamaezi wa wapi wewe? Igunga ipole au kaliua?

Dah kwa hiyo sie wa sasa vibamia yunazingua ukincompare na xxl za wanyawezi wa enzi hizo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…