Napenda kutolea ufafanuzi juu ya hili nilipewa Zawadi ya gari na mtumishi anayejiita Nabii Mkuu na sio hiyo gari mnayoiona kwenye picha ila utata umekuja pale ambapo watu wa George kasambale wanapohitaji nije kushukuru kanisani kila wakati Siwezi pia mm nina magari mengi tu