Vituko mitandaoni. Tupia chako

Anhaa hii hutokea mfano shule anayosoma huyo kijana watahiniwa wakawa wengi wakafika limit ya NECTA

So hutafutiwa center ingine ambayo inawatahniwa wachache.

Ila kuna masaa tufiche ujinga wetu
Huyo kijana ni think tank inayotegemewa sana huko upinzani. Pengine hakulijua hili na amedakia tu ili kupata mileage. Naamini kuna mtu ambaye atakuwa amekuja kumwelewesha.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…