1 - Mazoezi ni dawa. 2 - Kufunga ni dawa. 3 - Chakula cha asili ni dawa. 4 - Kicheko ni dawa. 5 - Mboga na matunda ni dawa. 6 - Usingizi ni dawa. 7 - Mwanga wa jua ni dawa. 8 - Kuwapenda wengine ni dawa 9 - Kujipenda ni dawa. 10 - Shukrani ni dawa. 11 - Kuacha kosa ni dawa. 12 - Kutafakari ni dawa. 13 - Kusoma na kujifunza Neno la Mungu ni dawa. 14 - Kula vizuri, kwa wakati na bila ziada ni dawa. 15 - Fikra sahihi ni dawa. 16 - Kumtegemea Mungu ni dawa 17 - Marafiki wazuri ni dawa. 18 -. Kujisamehe na kusamehe wengine ni dawa. 19 - Kunywa maji mengi ni dawa. 20 Moyo wenye amani ni dawa Kunywa dawa hizi za kutosha na ni mara chache sana utahitaji zile za maduka ya dawa.