Vituko mitandaoni. Tupia chako

Mtoto Benedicto Albert (7) mwanafunzi wa Shule ya Msingi binafsi ya Helbart Gappa mkoani Simiyu, amelazwa Hospitali ya Mkoa huo kutokana na kipigo alichopewa na baba yake ambaye ni polisi, kwa kutojua kusoma. Waandishi wa Habari Simiyu wanasema Polisi mkoani humo wako kimya
 
10 TIME WASTERS:

1. Worrying
2. Complaining
3. Watching TV
4. Overthinking
5. Procrastination
6. The fear of failure
7. Trying to be perfect
8. Waiting to be inspired
9. Caring what people thing
10. Repeating the same mistake


1. Kuwa na wasiwasi
2. Kulalamika
3. Kuangalia TV
4. Kufikiri kupita kiasi
5. Kuahirisha mambo
6. Hofu ya kushindwa
7. Kujaribu kuwa mkamilifu
8. Kusubiri kuongozwa
9. Kujali mambo ya watu
10. Kurudia kosa lile lile
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…