Vituko mitandaoni. Tupia chako

Sasa ndiyo naamnini kuna watu wanatafuta sifa za uongo...

Mikopo ya smartphone inatolewa na kampuni binfasi na waziri haimuhusu Kwa chochote..
Halafu kwa mabando haya ghali, wangapi wataweza kulipia? Badala aanze na kupunguza bei za bando na ma tozo yao haya yeye anakwenda vaisi vesa. Hovyo sana huyu jamaa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…